Mjamzito apigwa risasi na mtoto wake wa miaka 2

Mjamzito apigwa risasi na mtoto wake wa miaka 2

Mwanamama aliefahamika kwa jina la Laura Llg mwenye umri wa miaka 31 amepoteza maisha baada yakupigwa risasi na mtoto wake wa kiume wa miaka 2.

Polisi wa eneo hilo wamesema kuwa mtoto huyo aliikuta silaha hiyo ya baba yake kwenye droo ambapo aliichukua na kufyatua ambapo ilimpata mama yake kwa nyuma.



Laura alikua na ujauzito wa miezi 8 na wakati wa tukio hilo mume wake alikua kazini, baada yakupigwa risasi alipiga simu ya dharura 911 ambapo walifika na kumpeleka hospital ambapo yeye na mtoto aliyekua tumboni walipoteza maisha.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags