Microphone aliyorusha Cardi B kwa shabiki yapata mteja

Microphone aliyorusha Cardi B kwa shabiki yapata mteja

Hatimaye microphone iliyorushwa kwa shabiki na Cardi B mwishoni mwa mwezi uliyopita imepata mteja siku ya jana , ambapo imenunuliwa kwa dola 100, 000 ambayo ni zaidi ya Tsh 246 milioni.

Tukio hilo lilitokea baada ya shabiki kujaribu kummwagia maji Cardi  akiwa jukwaani ndipo akachukua uamuzi wa kurusha microphone hiyo na baadaye ikaingizwa kwenye soko la eBay huku pesa iliyopatikana inadaiwa kwenda kutolewa msaada.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags