Mfahamu mtu mwenye vidole vingi duniani

Mfahamu mtu mwenye vidole vingi duniani

Na Aisha Lungato

Mambo vipi wanangu wa mwananchi scoop natumaio mko good, Leo bwana katika listi tunakuletea mwanakaka ambae ameshikiria rekodi ya dunia ya Guuinnes kwa kuwa na vidole vingi

Imefahamika kuwa anavidole 28 kwa jumla ya vidole vya mikono na miguu ambapo kila mkono na mguu mmja unavidole 7.

Ni vigumu kuamini! Raia wa Himatnaga, Gujarat nchini India, Devendra Suthar amebainika kuwa ndiye mtu aliye hai mwenye vidole vingi zaidi vya mikononi na miguuni.

Devendra ambaye ni fundi seremala ana vidole 14 vya mikono na 14 vya miguuni hivyo jumla kuwa na vidole 28 hivyo kuweka rekodi katika Kitabu cha Kumbukumbu cha Dunia cha Guinness.

Ingawa katika shughuli zake za useremala vidole hivyo havimsumbui wala kumkwamisha katika ufanyaji wake wa kazi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags