People say ‘there is nothing sweet without sweating for it.’ Kwa wale wapambanaji wenzangu itakua wananipata vyema sana kwa kauli hii, lakini pia waswahili wanasemaaa ‘hakuna mkate mgumu mbele ya chai.’
Sijui unanipata hapo walau kwa mbaali hivi, haimaanishi hivyo ambayo unafikiri mtu wangu ila ukiupindua vizuri huo usemi utanielewa hapa. Hii misemo yote kwa pamoja inabebana, siku zote unapotaka kwenda mbele usiogope mishale utakayokumbana nayo njiani, kikubwa kabiliana nayo angalia kule unakokwenda na ulipotoka hakika utafika Yerusalem.
This story is available exclusively to MWANANCHISCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.
Leave a Reply