Mechi ya kesho tishio kwa ‘Kocha’ wa Al Ahly

Mechi ya kesho tishio kwa ‘Kocha’ wa Al Ahly

‘Kocha’ wa Al Ahly, Marcel Kohler ameeleza kuwa kuna ugumu wa ‘mechi’ ya kesho, ikizingatiwa wapinzani wao ‘klabu’ ya #Simba wana ubora na wamejiandaa.

 Kohler ameeleza kuwa historia yao kucheza hapa Tanzania siyo nzuri kwao, ni jukumu lake kuibadilisha historia hiyo, pia lengo lao ni kuhakikisha wanacheza vizuri na kupata matokeo yatakayo rahisisha mchezo wa marudiano Misri.

 Ikumbukwe ‘mechi’ hiyo inatarajiwa kuchezwa siku ya Ijumaa  #Simba dhidi ya #Al Ahaly katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags