Mbwa wa kwenye filamu ya The walking dead afariki dunia

Mbwa wa kwenye filamu ya The walking dead afariki dunia

Mbwa wa mwigizaji Daryl Dixon's aitwaye ‘Seven’ aliyeonekana katika filamu ya zombie ya ‘The Walking Dead’ amefariki dunia siku ya jana Alhamisi Mei 13, 2024.

Taarifa ya kifo cha mbwa huyo ilitolewa na mtandao wa AMC na akaunti rasmi za ‘Walking Dead’ kwa kukumbuka usheji na upendo aliyokuwa nao mbwa huyo huku sababu ya kifo chake ikiwa haijawekwa wazi.

Ikumbukwe kuwa jukumu la Mbwa huyo katika filamu hiyo lilikuwa ni kumuonesha njia Daryl ya kumpata rafiki yake Rick aliyepotea ambaye alidhaniwa amekufa.

Seven's Dog alianza kuoneakana kwa mara ya kwanza kwenye filamu hiyo mwaka 2018 huku mara ya mwisho akionekana final epsod "Rest in Peace" ya The Walking Dead iliyotoka Novemba 2022.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags