Mbosso: nimeridhika na kiasi ninachopewa na lebo yangu

Mbosso: Nimeridhika Na Kiasi Ninachopewa Na Lebo Yangu

Weeeuweee! Another Monday mtu wangu wa nguvu, I hope uko good basi bwana kama tunavyo jua kuwa mitandaoni kumekuwa na gumzo la meneja wa Lebo ya WCB Diamond kuwanyonya wasanii wake kupitia lebo hiyo kutoa asilimia ndogo kwa wasanii wake.

Kupitia mahojiano na chombo cha habara Mbosso  aliulizwa swali kuhusisiana na Asilimia ambazo angependa apewe na lebo hiyo achague kati ya 40% na 50% alifunguka na kusema kuwa “Asilimia wanazo nipa sasahivi nimelizika nazo ikitokea nikahitaji mabadiliko ntazungumza nao mana mkataba wangu unasema tuzungumze kama kuna mabadiliko, kiasi ambacho wananipatia nimeidhika nacho” amesema Mbosso

Aloooooo! Haya tumwambie au tumuache, haya dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana una nini cha kumwambia Muhindi wa kusini.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post