Mbosso awatania wasanii wenzake, adai anawaona wezi

Mbosso awatania wasanii wenzake, adai anawaona wezi

Baada ya msanii Mbosso kununua mkufu wa dhahabu na kuendelea kutamba nao kupitia mitandao ya kijamii, siku ya jana Ijumaa akiwa na baadhi ya wasanii katika festival mkoani Songea amewatania wasanii hao kwa kudai kuwa hawaamini wote anawaona kama wezi.

Mbosso kupitia maelezo yake amesema kuwa,
“Watu wote hapa nawaona wezi, kila ninaye muona naona anataka kuniibia tuu, jamani naogopa naona watu wote wezi wanataka kuniibia hawa”


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post