Mbdogg: Hatuna cha kujivunia kwenye amapiano

Mbdogg: Hatuna cha kujivunia kwenye amapiano

Wakati wasanii wengi wakizidi kujikita katika aina ya muziki wa amapiano lakini kwa upande wa masanii mkongwe #MbdoggMaster yeye yuko tofauti na muziki huo.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari anaeleza kila mtuana namna anavyo utazama muziki kuna wale wanao utazama kibiashara zaidi anasema.

“Kuna watu hawezi kuvumilia dhiki mtu kama huyo yuko tayari kuishi kwenye jambo lolote, ila kwa watu ambao wanapambania kwakile kitu ambacho wana kifanya huwezi kuparamia kitu cha mtu hovyo hovyo

Lazima utengeneze kitu chako mwenye ili iwe mfano kwa watu wengine kwenye amapiano au kuchukua sound nyingine tofauti na za kwetu hatuana chakujivunia hapo”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags