Mayweather aonesha jeuri ya pesa

Mayweather aonesha jeuri ya pesa

Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa na ‘promota’ kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather ameendelea kuonesha jeuri ya pesa, ambapo ameripotiwa kutumia dola 1.13 ambayo ni sawa na tsh 2.9 bilioni kununulia ‘tiketi’ watu 34 ili kwenda kushuhudia fainali za ‘Super Bowl’.

Mchezo huo unatarajiwa kucheza siku ya Jumapili Februari 11, katika Uwanja wa Allegiant huko Paradise, Nevada ikiwa ni Super Bowl ya kwanza kufanyika Nevada nchini Marekani






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags