Mayele: Dunia ya Mungu siyo ya mtu

Mayele: Dunia ya Mungu siyo ya mtu

Mchezaji wa ‘Klabu’ ya Pyramid FC Fiston Mayele anadai kuna watu wanataka afeli.

Kuhusiana na hilo Mayele amedai kuwa dunia ni ya Mungu siyo ya mtu hiyo watu waendelee kuombeana kwani hakuna anaye ijua kesho ya mtu.

Mayele ameeleza hayo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ame-share picha na kuandika,

“Ma mudele umeona jinsi natazama watu ambao wanataka ni feli hii Dunia ni ya Mungu siyo ya mtu twendelee kuombeana mema atujui kesho ya mtu”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags