Maua Sama: Namkubali Alikiba

Maua Sama: Namkubali Alikiba

Aisee moja kati ya ndoto zake ambazo zimetimia kwa msanii Maua Sama ni pamoja na  hii ya kufanya ngoma na  King Kiba ambapo Maua ameeleza kuwa Kiba  ni moja kati ya wasanii ambao amekuwa akiwasikiliza tangu  akiwa shuleni.

Akizungumza na waandishi wa habari siku Sama amefunguka haya  “kila mtu alikuwa anajua kuwa mimi na Ali tunahitaji kufanya wimbo, na ni muda mrefu nilikua natamani kufanya naye wimbo ni kama ndoto imetimia, Kiba  nimekuwa nikimsikia toka nasoma na siku zote amekuwa akifanya vizuri nampenda sana na nimekuwa shabiki yake kwa muda mrefu''.

Hata hivyo ikumbukwe kuwa Sama usiku wa jana alifanya listening party ya ep yake ambayo King kiba yupo kwenye moja ya ngoma ambazo zinapatikana kwenye ep hiyo.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post