Mashabiki wa Yanga wamiminika kwenye Instagram ya Pacome

Mashabiki wa Yanga wamiminika kwenye Instagram ya Pacome

Wakati mashabiki wa Simba wakisubiri uzi wao unaotarajiwa kutambulishwa kesho Ijumaa katika Mlima Kilimanjaro huku mashabiki wa #Yanga wakimkaribisha Mvp mpya #PacomeZouzoua aliyetambulishwa usiku wa jana huku akionekana kupendwa na mashabiki.

Kupitia ukurasa wa #Instagram wa mchezaji huyo ambao ulikuwa na followers wachache, kama ilivyo kawaida kwa mashabiki kuwafuatilia wachezaji pindi wanapo tambulishwa.

Ndipo mashabiki walionyesha shauku yao kungia katika ukurasa wa #Pacomzouzoua na kukuta follwers wachache, kiasi ambacho hawakutegemea mchezaji mkubwa na mwenye viwango vya juu account yake kuwa ndogo.

Ndipo wakaanza kumiminika kwa kum-follow na ku'komenti' huku wakimtaka mchezaji huyo, awe mtu wa mitandao, aendane na mazingira ya kibongo kwani nchi alioingia watu wengi wanapenda mitandao






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags