Marioo: wananitaka, mimi siwataki

Marioo: wananitaka, mimi siwataki

Penzi  la #Paula na #Marioo limeonekana kuendelea kunoga hadi kupelekea wawili hao kushindwa kuficha hisia zao.

Licha ya kuwa na maneno mengi kutoka kwa  baadhi ya watu wakidai kuwa wawili hao hawatafika mbali kwenye penzi lao.

Marioo  ameendelea kuonyesha hizia zake kwa kudai kuwa wanamtaka ila yeye anataka Paula tu

Marioo kupitia kurasa wake wa Instagram ame-post picha akiwa na Paula na kuisindikiza na ujumbe usemao “Wananitaka me siwataki nakutaka wewe Tu”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags