Marioo kuachia ngoma mpya leo

Marioo kuachia ngoma mpya leo

Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Marioo ametangaza kuachia ngoma yake mpya leo hivyo amewataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula kuipokea.

Unaambiwa kuwa wimbo huo pia utapatikana kwenye album yake ambayo anatarajia kuiachia siku za hivi karibuni.

Kupitia IG yake Marioo ameandika “Kesho (leo) naachia wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yangu, sorry sio wimbo ni mziki, get read, album is coming,” ameandika.

Eee bwanaa mtu wangu wa nguvu wewe unahisi katika wimbo huo atakuwa amemshirikisha msanii gani? Dondosha comment yako katika ukurasa wetu ambao ni @mwananchiscoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags