Mapacha walioungana mmoja apata mpenzi

Mapacha walioungana mmoja apata mpenzi

Mapacha walioungana wanaofahamika kwa majina ya Lupita na Carmen wameshare story ya maisha yao kwakuweka wazi kua kwasasa mmoja wao ana mpenzi japokua wanatumia njia moja ya uzazi (uke), mapacha hao wameungana sehemu ya mwili wakitumia miguu miwili wanatumia ini moja na mzunguko wa damu mmoja.

Wamesema hawajawahi kujaribu kufanya upasuaji wakuwatenganisha sababu mmoja wao au wote wanaweza kupoteza maisha, Carmen ana mpenzi aitwae Daniel na amesema bado ni kijana wa miaka 20 hivyo hawajafikiria kuusu ndoa.



Carmen na Lupita wamesema wanatamani sana kua na watoto ila ni jambo ambalo haliwezekani sababu wana tatizo la mzunguko wa hedhi jambo linalo wafanya washindwe kubeba ujauzito.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags