Mandonga mtu kazi: Mimi ndo nimemleta Kaoneka mjini

Mandonga mtu kazi: Mimi ndo nimemleta Kaoneka mjini

Hahahha! Make hapa ncheke, leo bwana kwenye mahojiano na moja ya media inayo fahamika sana mjini yule mtu kazi alifunguka kuhusiana pambano lake la yeye na Kaoneka na kufichua za ndani kabisa kuwa yeye ndo amemleta mjini bondia mwenzke aliemchapa hivi karibuni ambae ni  Shabani Kaoneka

Mandonga amesema kuwa “anatakiwa aendelea kumuheshimu Mandonga kwasababu mimi ndo nimemtoa vichochoroni kumrudisha mjini kwamba watu wamuone sasa huyu ndo Shabani Kaoneka, nimeenda kumshawishi promota ili arudi kwenye system ya ngumi, na wanasema siku zote unaweza ukambembeleza mtu kuhusu kitu badae kikaja kukuathiri wewe” amesema Karim Mandonga

 Uwiiiiiiiih! Mandonga mtu kazi ameamua kufunguka yamoyoni jamani, haya unamshauru nini bondia huyu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags