Manara: role model wa Diamond ni SRK

Manara: role model wa Diamond ni SRK

Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga #HajiManara amedai kuwa role model wa msanii wa bongo Fleva, #DiamondPlatnumz ni muigizaji mkongwe kutoka #India, #ShahRukhKhan.

Manara kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share video ya muigizaji #SRK iliyoambatana na ujumbe akieleza kuwa role model wa rafiki yake #Diamond ni Shah Rukh Khan huku akidai kuwa mara kadhaa Diamond amekuwa akitamani kukutana nae ana kwa ana.

Aidha kwa upande wa #Manara yeye ameweka wazi kuwa role model wake na mtu maarufu anaetamani kukutana nae ni #CR7 na #Beyonce huku akieleza sababu yake kubwa kuwataja ni watu wanao mvutia zaidi.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags