Manara: Max ndio Signing bora kufanywa msimu huu

Manara: Max ndio Signing bora kufanywa msimu huu

Baada ya #Yanga kuibuka kidedea siku ya jana kwa kuitandika  #Kaizerchief 'goli' moja,  kwenye uwanja wa Mkapa, ambapo 'klabu' hiyo ilikuwa ikisherekea siku ya #Wananchi huku mchezaji  #Maxinzengeli akionesha uwezo wake kikamilifu.

Aliyekuwa Msemeji wa Yanga Hajji Manara, ameonekana kufurahishwa na uwezo wa mchezaji huyo mpya wa 'klabu' hiyo #Maxinzengeli, ambaye alionekana kuonesha maajabu kwenye mchezo wa jana.

Manara ameshindwa kuficha hisia zake dhidi ya mchezaji huyo, kupitia ukurasa wake wa #Instagram ambapo  Manara ameandika,

 “Sikuacha kumwelekeza kuhusu historia ya Yanga na matarajio yetu kwake, huku nikamwambia pia Fredy Mayaula Mayoni, mwanamuziki mkubwa Afrika, alikuwa ndiyo mchezaji wa kwanza toka Congo DRC kucheza Yanga mwaka 1971, wakati huo akisoma Dar es Salaam.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags