Man United yaopoa mdhamini mpya

Man United yaopoa mdhamini mpya

‘Klabu’ ya #ManchesterUnited imefikia makubaliano na kampuni ya kiteknolojia Qualcomm kwa ajili ya kuwa mdhamini mkuu wa ‘jezi’ za ‘timu’ hiyo kuanzia msimu ujao wa.

Chapa ya Qualcomm ya 'SNAPDRAGON' itaonekana mbele ya ‘jezi’ za nyumbani, ugenini na ‘jezi’ namba 3 za Man United kuanzia msimu ujao ikichukua nafasi ya Team Viewer ambayo ipo mbele za ‘jezi’ za sasa.

Aidha Qualcomm Snapdragon ni kampuni kiteknolojia yenye maskani yake San Diego, California, Marekani ambayo inayojihusisha na mifumo ya vichakataji (processors) ya vifaa vya simu janja, computer na bidhaa zingine za kielektroniki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags