Mamelod na Wydad kukamilisha AFL leo

Mamelod na Wydad kukamilisha AFL leo

Michuano  mipya ya African Football League (AFL) inafikia kilele chake leo Novemba 12, 2023 kwa mchezo wa mkondo wa pili wa ‘fainali’ utakaopigwa katika uwanja wa ‘Loftus Versfeld Pretoria’ nchini  Afrika Kusini ambapo wenyeji Mamelodi Sundowns watacheza na Wydad Casablanca kutoka Morrocco.

Wydad inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na uongozi wa 2-1 kutoka ushindi kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa  na ‘klabu’ ya Mohamed V, Morocco wiki moja iliyopita.

Ikumbukwe kuwa ‘timu’ hizo zimekutana mara 13 tangu 2017 huku Wydad Casablanca ikiwa na rekodi nzuri ya kushinda mara 5, sare 5 na vipigo vitatu (3).
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags