Mama wa Aziz ki alivyoshangilia bao la mtoto wake

Mama wa Aziz ki alivyoshangilia bao la mtoto wake

Tazama furaha ya Mama wa mchezaji wa klabu ya Yanga Stephane Aziz KI baada ya kijana wake kufunga goli kwenye mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Federation Cup, jana Jumatano dhidi ya Tabora United.

Mama yake Azizi KI alionekana akishangilia goli alilofunga mwanaye kipindi cha kwanza katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Chamanzi Complex, ambapo klabu hiyo iibuka na ushindi wa mabao 3-0 kwa kuichapa Tabora United.

Forward huyo mwenye umri wa miaka 28 amekuwa akionyesha ubora wake siku hadi siku klabuni hapo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags