Makeke: Wasanii wengi wababaishaji, Hawathamini wabunifu wa mavazi

Makeke: Wasanii wengi wababaishaji, Hawathamini wabunifu wa mavazi

Mbunifu wa mavazi ya asili nchini, Makeke amefunguka na kutoa sababu ya kuacha kufanya kazi na wasanii wa Tanzania, amedai kuwa wasanii wengi ni wababaishaji na hawathamini kazi za wabunifu wa mavazi ya asili.

Amesema wabunifu wanatumia muda na akili nyingi lakini bado wasanii wanasema wabunifu wa mavazi ya asili hawana viwango.

Hata hivyo mbunifu huyo ameonekana akiwa  na  ziara nyingi anazozifanya nje ya nchi kama vile (Europe Tour) kwa ajili ya kuonesha mavazi yake ya asili kuitangaza Tanzania.
.
.
.#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags