Mahakama: bila kuona hamtambuliki kama wanandoa

Mahakama: bila kuona hamtambuliki kama wanandoa

Mahakama ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba wenzi wanaoishi pamoja bila nia ya kufunga Ndoa hawawezi kutambulika kama Wanandoa moja kwa moja hadi wafunge Ndoa kwa hiari yao wenyewe.

Hii ni baada ya Mahakama kutoa uamuzi katika mzozo wa muda mrefu wa kisheria kuhusu Mgawanyo wa Mali kati ya mlalamikiwa Paul Ogari Mayaka na aliyekuwa mpenzi wake, Mary Nyambura Kangara walioishi pamoja kuanzia 1986 - 2011 bila kufunga Ndoa

Baada ya kuachana, Nyambura alikwenda Mahakamani akitaka mgawo sawa wa Mali ambapo madai ya Mgawanyo wa Mali yalitupiliwa mbali kwasababu matokeo ya kuishi pamoja hayakuweza kudhaniwa kuwa ni Ndoa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags