Madee: Tupendane tuna muda mchache

Madee: Tupendane Tuna Muda Mchache

Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Madee ameandika ujumbe huu mzito akiwataka watu kupendana na kuwa karibu zaidi na Mungu.

"Misiba inatukumbusha vingi sana... lakini Kubwa zaidi kumsogelea karibu MUNGU... kuonyeshana UPENDO.. nafikiri Kuna elimu zaidi inatakiwa kwa vijana... tunasahau sana kwamba mwanadamu anaishi miaka 60-75,zaidi ya hapo nibahati tu kuendelea kuishi... TUPENDANE tunamuda mchache sana hapa ulimwenguni...

Ahsanteni ndugu jamaa na marafiki na wote mlioguswa kipindi chote cha ibada yakumpumzisha mzee wangu!!.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post