Lulu: Mtu asitamani kuwa chawa wangu, Ninavisirani

Lulu: Mtu asitamani kuwa chawa wangu, Ninavisirani

Muigizaji wa #BongoMovie #ElizabethiMichel maarufu kama #Lulu ameeleza kuwa mtu asitamani kuwa chawa wake kwa sababu anavisirani sana kwa hiyo kazi ya chawa itakuwa ngumu kwake.

Ameyasema hayo akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari kuwa yeye haitaji watu wakumuongelea kwa sifa nyingi (machwa) ila yeye anataka kusifiwa kawaida isizidi sana.

Akamalizia kwa kudai kuwa machawa waachwe wafanye kazi yao kwa sababu wako kazini pia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post