Lulu Diva: Nilimpenda sana Lavalava

Lulu Diva: Nilimpenda Sana Lavalava

Oooyeeeeh! It’s monday mtu wangu leo bwana kwenye gumzo mitandaoni sio poa yanii watu wanapendana halafu hamsemi watu mnasiri sana bwana hahhaha!


Aiseee acha nikupe habari hii bwana ambapo msanii wa bongo fleva nchini Tanzania Luludiva amefunguka kuhusiana na ex wake ambaye anamkubali sana wakati walipokua kwenye mahusiano.

Lulu diva amefunguka wakati akihojiwa kupitia Luninga na kumtaja Lavalava kuwa ndie ex-wake ambaye alimpenda Zaidi.

 Oyaaah! Weee! Mwanangu wa mwananchiscop usisahau kudondosha komenti yako hapo chini

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post