Lulu amjibu Mange Kimambi

Lulu amjibu Mange Kimambi

Baada dada wa Taifa Mange  kuandika habari katika app yake kuwa Elizabeth Michael maarufu kama Lulu  kuwa ni muathirika wa HIV  Muigizaji huyo wa Filamu nchini ameibuka na kumtumia ombi Mange Kimambi kuwa wanaweza wakapima Ukimwi  live ili kupata majibu sahihi zaidi juu ya taarifa aliyoiandika

muigizaji huyo ameona kuwa ni fursa kwani amependekeza zoezi hilo lifanyike live na watazamaji watapaswa kulipia ili kutazama zoezi hilo.

Kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya kumuomba dada huyo wa taifa huka akishusha ujumbe unaoeleza kuwa “Nisaidieni kumwambia dada AIDIA yangu Hii na uhakika tunapiga hela ya mwaka mzima huu uliobaki kwenye hela sina uadui dada angu” ameandika Lulu

Aloooooh! Haya haya mwanangu sana wewe unamtazamo gani katika hili, embu dondosha komenti yako hapo chini kutueleza mtazamo wako.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags