Leo dunia inaadhimisha siku ya Wine

Leo dunia inaadhimisha siku ya Wine

Inaweza ikawa wikiendi nzuri kwa baadhi ya watu wanaotumia mvinyo kwani kila ifikapo tarehe ya leo Mei 25, ulimwengu unaadhimisha siku ya mvinyo (wine) hivyo basi unaweza kusindikiza siku hiyo kwa kunywa wine ukiwa na marafiki.

Kwa mujibu wa tovuti ya ‘National Day Calendar’ siku hii unaweza kuisheherekea ukiwa na ndugu, jamaa pamoja na marafiki, kila mmoja wenu anatakiwa kunywa walau glasi mbili ili kuadhimisha siku hiyo, huku kwa wale wasiyotumia wanaweza kutumia glasi moja tu.

vipi ungependa kunywa glasi ngapi leo?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags