Lamata amuwaza Manara kwenye jua kali

Lamata amuwaza Manara kwenye jua kali

Baada ya sauti ya producer maarufu nchini Lamata kusikika akisema kuwa anamuwaza aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara kumuingiza katika tamthilia yake inayofanya vizuri ya jua kali.

Manara kupitia ukurasa wake wa #Instagram ameandika ujumbe akieleza kuwa

“It’s not easy for me, Sidhani kama naweza kuigiza Coz nimeishi maisha halisi kwa miaka yote, pili mimi siwezi kuwa mzuri sana katika mambo ya kukariri kusoma Script, nishazoea kusema kutoka kichwani!!

But nini kinashindikana duniani ukizingatia huku kwangu hawanitaki na wananiona nuksi!! Mzigo utaongea, @lamataleah”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags