Lady Jaydee awapa maua yao waliyo husika kwenye wimbo wake mpya

Lady Jaydee awapa maua yao waliyo husika kwenye wimbo wake mpya

Mwanamuziki mkongwe nchini Lady JayDee atoa pongezi kwa mtayarishaji wa muziki Andy Muzic wa nchini Uganda pamoja na mkongwe #RamaDee kwa kuhusika moja kwa moja kwenye wimbo wake mpya unaofahamika kama 'Mambo Matano'.

Kupitia ukurasa wake wa X Jide ametumia kutoa pongezi hizo kwa Andy, producer mbaye aliwahi pia kutengeneza wimbo wake wa ‘Ndindindi’ ngoma ya miaka 7 iliyopita, na awamu hii mtayarishaji huyo wa muziki amepika ‘Mambo Matano’ tena.

Huku kwa upande wa Rama Dee apewa pongezi kwa kutoa wazo lote la wimbo huo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post