Kunusa jasho la mtu husaidia kuondoa wasiwasi

Kunusa jasho la mtu husaidia kuondoa wasiwasi

Kufuatia utafiti uliofanywa na watafiti kutoka nchini Uswidi unaonyesha kuwa kunusa harufu za mwili za watu wengine kunaweza kusaidia katika kutibu wasiwasi wa kijamii.

Utafiti huo unapendekeza kuwa kunusa harufu ya wengine huwezesha njia za ubongo zinazohusiana na hisia, ambazo zinaweza kuwa na athari ya kutuliza.

Timu ya watafiti inayofanya kazi katika utafiti huu itawasilisha baadhi ya matokeo yake katika mkutano wa matibabu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, wiki hii.

Hata hivyo, bado ni mapema sana kudhibitisha utafiti huu. Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke, je unaweza kunusa jasho la mtu ili kupunguza tatizo hilo, embu dondosha koment yako hapo chini mwanangu sana.

Chanzo  BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags