Aloooo!!! Kutoka kwenye ukarasa wa Instagram wa Mnyama Mkali Official Nai ameshare ujumbe huu kwenye Insta story yake akitupa jiwe gizan akiandika hivi.
"Kulea Moyo Wa Mwanamke Kunahitaji Utulivu Sio Ubabe" Nai
Ebwana eeeh, wanaume uwanja ni wenu fungukeni hapo chini je kuwale ninyi kunahitaji nini?
Leave a Reply