Kocha wa Mamelod adai kuwatoa Yanga

Kocha wa Mamelod adai kuwatoa Yanga

‘Kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya #MamelodiSundowns, #RhulanMokwe ameweka wazi kuwa ‘timu’ yake itashinda hatua ya nusu fainali  ya ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika licha ya kutoka sare ya 0-0  dhidi ya ‘klabu’ ya #Yanga kwenye mchezo wa kwanza ugenini Jana Jumamosi.

Aidha ‘kocha’ huyo ameeleza kuwa ana huhakika katika ardhi yao kumtoa mpinzani wao, hivyo amewataka wachezaji wake warudie kuingalia ‘mechi’ iliyopita na wajipange tena kwa mashambulizi.

Mamelodi na Yanga watakwenda kukipiga nchini Afrika Kusini katika mchezo wa marudiano tarehe 5 mwezi wanne, huku pande zote mbili zikiwa na shauku ya kuutaka ushindi huo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post