Kocha wa Al Merreikh aifananisha Yanga na Vilabu ya Ulaya

Kocha wa Al Merreikh aifananisha Yanga na Vilabu ya Ulaya

‘Kocha’ wa 'klabu' ya Al Merreikh, OsamaNabih amesema ‘klabu’ ya Yanga SC inacheza kama 'vilabu' vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa ‘timu’ hiyo kuchukua ubingwa wa Afrika.

Aidha ameeza kuwa wamekutana na 'vilabu' vikubwa vya Afrika lakini walivyocheza na ‘timu’ ya Yanga wameuona ubora mkubwa.

Ikumbukwe kuwa ‘klabu’ ya Al Merreikh imeondoshwa kwenye michuano ya ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags