Kocha wa Al Ahly aahidi kumaliza mchezo kwa Mkapa

Kocha wa Al Ahly aahidi kumaliza mchezo kwa Mkapa

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #AlAhly, #MarcelKoller ameahidi kuimaliza ‘mechi’ yao dhidi ya ‘klabu’ ya #Simba katika uwanja wa Benjamin Mkapa na hajali kuhusu ‘rekodi’ ya michezo ya nyuma baina yao.

Aidha ameeleza kuwa kikosi chake kimejiandaa kuonesha kiwango bora kesho kwani hawajaja kuangalia historia yao bali wachezaji watacheza kwa umakini wa hali ya juu kwa lengo la ushindi.

Hata hivyo Marce amesema kuwa hawezi kumdharau mpinzani wake kwani kwa sasa wapo katika Level moja.

Mara ya mwisho miamba hiyo kukutana ni ‘mechi’ ya mashindano ya African Football League Oktoba mwaka jana ambapo walitoka sare nyumbani na ugenini.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags