Khloe akanusha uvumi wa kuwa penzini

Khloe akanusha uvumi wa kuwa penzini

Ebwana moja kati ya taarifa ambayo iko huko mitandaoni bhana ni kuhusiana na uvumi kuwa Khloe Kardashian kwamba yuko penzini  na Mtangazaji wa show ya “Too hot to handle” anayeitwa  Harry Jowsey  baada ya tu yakuachana na Tristan Thompson.

Kutokana na uvumi huo bwana sasa Khloe  amevunja ukimya ameamua kujibu kupitia post moja ya shabiki iliyotoa taarifa hivi.

"Kuna Tetesi Inayoendelea Kwenye Mitandao Kuhusu Wawili Hawa ( Khloe & Jowsey ) Kuwa Penzini. Ukiachana Na Hiyo Wamekuwa Wakitumiana Meseji Mara Kwa Mara na Hata Jamaa Kuwa Na Utaratibu Wa Kumpelekea Maua Khloe Nyumbani Kwake".






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags