Kesi ya Trilioni 9.2 ya Drake yafutwa

Kesi ya Trilioni 9.2 ya Drake yafutwa

Moja ya habari huko mitandaoni ni kufutwa kwa kesi ya Trilioni 9.2 iliyokuwa inamkabili msanii kutokea Marekani Drake maarufu pia kama Champagnepapi.

Kesi hiyo ambayo ilifunguliwa na mmoja wa mwanamke aliyevamia nyumbani kwa Drake mwaka 2017, imeripotiwa kuwa imetupiliwa mbali na mahakama.

Mwanamke huyo alidai kuwa Drake alimkashifu na kumdhalilisha mwanadada huyo kwenye ngoma zake na mitandao ya kijamii.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags