Kendrick orodha ya mastaa waaminifu mahusiano

Kendrick orodha ya mastaa waaminifu mahusiano

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Kendricklamar ameingia kwenye orodha ya ‘mastaa’ waaminifu zaidi kwenye mahusiano baada ya kuwa na mpenzi mmoja tu.

Kendrick na mpenzi wake Whitney walisoma pamoja na kumaliza masomo yao mwaka 2005, na wakati wapo shule walianza kuwa marafiki wa karibu kisha baadae wakaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Pamoja na Kendrick kuwa mwanamuziki maarufu lakini bado anatambua na kuthamini mchango wa mwanamke huyo huku akiweka wazi kuwa ndiye mshauri namba moja kwenye maisha yake.

Kendrick alimvalisha Pete ya Uchumba Whitney mwaka 2015, na mpaka sasa wamebahatika kupata watoto wawili ambao ni Uzi na Enock.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags