Kendrick adakwa na polisi kwa mkosa matatu

Kendrick adakwa na polisi kwa mkosa matatu

Mwanasoka wa #Rams kutoka nchini #Marekani, #DerionKendrick,anadaiwa kukamatwa na polisi Los Angeles kwa ukiukaji wa sharia za barabarani, huku ndani ya gari lake akiwa amebeba bunduki na bangi.

Tukio hilo limetokea siku ya Jumatatu baada ya mchezaji huyo kutoka katika mchezo ambao ‘timu’ yake ya Los Angeles Rams ilipata ushindi wa ‘goli’ 26-9 dhidi ya Arizona Cardianals.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags