Kelvin Sowax na Hamisa kama Kanye West na Bianca

Kelvin Sowax na Hamisa kama Kanye West na Bianca

Mfanyabiashara Kelvin Sowax ambaye pia ni mpenzi wa mrembo Hamisa Mobetto kupitia Instastory yake ame-share picha ya rapper kutoka Marekani, Kanye West akiwa na mkewe Bianca na kum-tag Mobetto.

Kutokana na hilo wengi wamemuhusisha Kelvin kulifananisha penzi lao na penzi la Kanye West.

Vipi kwa mtazamo wako unadhani penzi la Hamisa ni kama la Kanye West na Bianca.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post