Karim Benzema ashinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia

Karim Benzema ashinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Club ya Real Madrid ya Hispania Karim Benzema ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya Mchezaji Bora wa Dunia.

Tuzo hizo ambazo zilifanyika jana  huko nchini Ufaransa, Benzema ameshinda tuzo hiyo ikiwa ni mara yake ya kwanza toka aingie katika soka la mpira wa miguu na kuonesha jitihada na mafanikio makubwa katika timu yake.

Alooooh! Haya kikwetu kwetu bongo ni nani ungependa awe mchezaji bora wa mwaka, dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post