Kanye West na Bianca walifunga ndoa, vyeti vipo

Kanye West na Bianca walifunga ndoa, vyeti vipo

Kutokana na sintofahamu na maswali mengi juu ya ndoa ya Kanye West na Bianca Censori zikihusisha ndoa yao kutotambulika kwani hawakuwahi kuonesha cheti chao cha ndoa sasa mambo yawekwa wazi.

Kulingana na Daily Mail, inaelezwa kuwa muda mfupi tu baada ya kuachana na Kim Kardashian, Kanye alifunga ndoa ya siri na Bianca na kupata cheti chao cha ndoa ambacho hawakupenda kukiweka wazi.

Ndoa hiyo walifunga California Desemba 20, 2022, ikiwa ni mwezi mmoja baada ya rapper huyo kusuluhisha talaka yake na mke wa zamani Kim Novemba 2022.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags