Kanye West kuchunguzwa kwa kosa la jinai

Kanye West Kuchunguzwa Kwa Kosa La Jinai

Msanii asiyeishiwa na vituko Kanye West ameibuka tena na sasa hivi anachunguzwa kwa kosa la jinai alilolifanya hivi karibuni kwa shabiki yake.

Kanye West anachunguzwa na Maofisa Usalama Los Andeles kwa kosa hilo la jinai baada ya kumtandika ngumi shabiki mmoja aliyekuwa akihitaji saini yake.

Pia imeripotiwa kuwa kosa hilo linaweza kumuweka jela Kanye West kwa zaidi ya miezi sita.

Nambie mtu wangu wa nguvu ni tukio gani lingine unalikumbuka ambalo Kanye West aliwahi kufanya na kustua watu, tupia comment yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.

 
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.

Latest Post