Kanye West aipa hasara Adidas

Kanye West aipa hasara Adidas

Kampuni  maarufu duniani kote ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Paundi Milioni 450, sawa na Trilioni 1.2 za Kitanzania.

Hasara hiyo kubwa kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 inatokana na kutouza bidhaa za Yeezy walizoshirikiana na mwanamuziki 'Ye' ama Kanye West ikielezwa zina thamani ya Paundi Bilioni 1.1 (Tsh. Trilioni 3).

Aidha baadhi ya wachezaji wanaovaa viatu vya Adidas ni Messi, Salah na Pogba, hata hivyo wana mkataba wa kuuza vifaa na jezi za ManUnited wakati washindani wao Puma hivi karibuni waliingia mkataba na Jack Grealisha, Neymar na Mancity.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags