‘Rapa’ na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kanye West ametangaza kuachia rasmi viatu vyake alivyovipa jila la ‘Yeezy pods’ vyenye thamani ya dola 200 ambayo ni zaidi ya Laki tano za Kitanzania.
#YeezyPods ni aina ya viatu ambavyo muundo wake upo kama soksi huku urefu wake ukifikia magotini na kwa sasa viatu hivyo vinapatikana kwa oda kupitia tovuti ya #Ye.
Viatu hivyo vitakuwa ni toleo la kwanza kwa #KanyeWest tangu kuvunja mkataba na kampuni ya #Adidas miezi kadhaa iliyopita.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply