Kanye awataka mapaparazi wampumzishe

Kanye awataka mapaparazi wampumzishe

‘Rapa’’ Kanye West amewataka waandishi wa udaku (mapaparazi) wampumzishe maana anashindwa ku-enjoy na kula bata jijini Paris kutokana na kumuandama kwa kumfuata kila kona.

Kanye amewachana watu hao, huku akiwatia mkwara kuwa kama hawato acha kumfuatilia basi ataondoka Paris.

Ikumbukwe kuwa Mwezi Januari Kanye alipinga urafiki na mapaparazi kutoka Marekani ambapo alionekana akiwaelekeza jinsi ya kupata video nzuri jambo ambalo lilizua sintofahamu kupitia mitandao ya kijanii kutokana na ‘rapa’ huyo hapo awali kuwachukia watu hao hadi kupelekea kuvunja vifaa vyao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags