Kanye amtamani mke wa Obama

Kanye amtamani mke wa Obama

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #KanyeWest amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Raisi nchini humo Baraka Obama, Michelle Obama.

Kupitia mahojiano yake na ‘The Download Podcast’ Kanye aliulizwa swali kuwa ni mwanamke gani mwingine angependa kuwa naye akiachana na mpenzi wake Bianca ndipo akajibu anatamani kuwa na Michelle Obama.

Kanye kwa sasa yupo kwenye ndoa na mwanadada #BiancaCensori ambaye amekuwa akizua gumzo katika mitandao ya kijamii kutokana na aina ya mavazi anayovaa.

Ikumbukwe kuwa wawili hao January mwaka 2023 walifunga ndoa baada ya Kanye kutalikiana na aliyekuwa mke wake na mzazi mwenzie #KimKardashian.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags