Kanye adai anadalili za ugonjwa wa akili

Kanye adai anadalili za ugonjwa wa akili

Mwanamuziki na mwanamitindo Kanye West amedai kuwa anadalili za ugonjwa wa akili ambazo zilisababishwa na ajali aliyoipata Oktoba, 2002.

Kanye alimtumia rafiki yake wa karibu Connor screenshoot za text alizokuwa akimtumia Elon Musk ambazo hazikujibiwa, na kumwambia rafiki yake huyo aweze kuzisambaza mitandaoni.

Ambapo kupitia moja ya text hizo Kanye West amewafunga midomo wale wote waliokuwa wakimsema kuwa ni mtu wa kubadilika badilika na kueleza kuwa habadiliki bali anadalili za ugonjwa wa akili kutokana na ajali ya gari.

Kanye alipata ajali hiyo Oktoba 2002 na iliyosababisha kuvunjika taya.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags