Kajala: Sio kabila tu hadi dini nitabadilisha

Kajala: Sio kabila tu hadi dini nitabadilisha

Alooooh! Unaambiwa mapenzi yamepamba moto huko kwa mmakonde ( Harmonize ) kamdatisha mtoto wa mama mkwe mpaka anatamka kuwa sio dini tuu hadi kabila atabadili, sio maneno yangu hayo ni maneno ya mwanadada Kajala akiuaminisha umma kuwa yuko kwenye penzi zito.

Kajala kupitia Insta story yake ameposti picha ikiambatana na ujumbe unaosema kuwa “kwa jinsi ninavyompenda sio dini tu hata kabila nitabadilisha, mimi ni mmakonde ujue” Aandika  Kajala

Weeeuweee! Nyie mmakonde ( Harmonize) anabalaa huyo sio powa yani, haya mwanangu sana dondosha komenti yako hapo chini kutueleza hali ya mahusiano yako, yametaradadi au sio shida zako hahaha!.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post